Swahili
Surah Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya count 4
قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ﴿١﴾
 Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ ﴿٢﴾
 Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ﴿٣﴾
 وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌۢ ﴿٤﴾
 Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.